Picha

Hatimaye: Beyonce amuonesha mwanae Blue Ivy ‘bila chenga’

Blue Ivy

Picha ya Beyonce na mwanae Blue Ivy Carter imesambaa mtandaoni ambapo mtoto huyo anaonekana clear!!
Kwenye documentary yake ya HBO itakayoruka leo usiku “Life Is But A Dream,” Beyonce hatimaye anamuonesha Baby Blue. Bila minguo ya kumficha wala blanket!!

Lakini picha hiyo kutoka kwenye makala yake imeleak jana jioni and ‘the internet streets are going nuts’.

Blue amebadilika kiasi ukilinganisha na picha za kwanza alipozaliwa lakini bado ana mchananyiko wa sura ya mama na baba yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents