Michezo

Hatimaye Haruna Niyonzima aiomba radhi klabu ya Yanga

Mchezaji wa Timu ya taifa ya Rwanda na klabu ya Yanga Haruna Niyonzima hatimaye ameiomba radhi klabu hiyo kutokana na matatizo yaliyojitokeza baina ya mchezaji huyo na klabu yake.

January 17 kiungo huyo akiwa katika makao makuu ya klabu hiyo, pamoja na afisa habari wa Yanga Jerry Muro, alitangaza kuomba radhi wanachama, wapenzi na mashabiki wa Yanga mbele ya waandishi wa habari kutokana na kosa alilolifanya.

????????????????????????????????????

Licha ya afisa habari wa Yanga Jerry Muro kutotangaza rasmi kama klabu imemsamehe, na kusema kuwa isubiriwe taarifa rasmi.

Awali klabu ya Yanga walitoa barua kwa umma ya kuvunja mkataba na Niyonzima December 28 2015, barua ambayo inaeleza makosa ya Niyonzima. Unaweza kupiti barua ya Yanga iliyotolewa December 28 2015 na mkuu wa idara ya habari wa klabu hiyo hii hapa chini

haruna-1

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents