Hatimaye Nahreel na Aika (Navy Kenzo) waweka hadharani picha za mtoto wao

Msanii Nahreel na Aika wanaounda kundi la Navy Kenzo ambao pia ni wapenzi wameweka hadharani picha za mtoto wao wa kwanza, Gold.

December 9 mwaka jana, 2017 ndipo wawili hao waliwaka wazi kuwa wamejaliwa mtoto wa kiume lakini picha zake hazikuweka kama ilivyotaratibu ambazo zinafahamika. Sasa wametuletea hizi picha za Gold;

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW