Aisee DSTV!
SwahiliFix

Hatimaye shabiki wa Taifa Stars aliyefariki akiwa Uwanja wa Taifa azikwa Tabata (Video)

Hivi ndivyo mamia ya watu walivyojitokeza kumuaga mpendwa wetu, Christopha Rupia aliyefariki Jumapili katika Uwanja wa Taifa DSM, kwenye mchezo kati ya Taifa Stars dhidi ya Burundi.

Wasifu wa marehemu ameacha watoto watatu na enzi za uhai wake alipigana katika vita ya Kagera kati Tanzania dhidi ya Uganda.

Taarifa zinadai kwamba marehemu alianguka chini muda mchache baada ya nahodha wa Taifa Stars, Samatta kukosa faulo dakika za mwisho kwenye mechi hiyo ya kutafuta tiketi ya kufuzu kombe la Dunia nchini Qatar 2022.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema. . .

 

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW