Michezo

”Hatuwezi kujiita ‘Next Level’ wakati sisi na Wao tunakuwa na mipango sawa ya kiuchumi, hapana”-Manara (+Video)

Msemaji wa Mabinmgwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba SC, Haji Manara amewataka wanachama wa timu hiyo kutumia kadi ya EQUITY Bank ili kuichangia klabu yao, akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari hii leo siku ya Alhamisi Manara amesema hawawezi kujiita ‘Next Level’ wakati Mnyama, wao na klabu nyingine wanakuwa wote sawa katika mipango ya kiuchumi, ”Next Level’ maana yake kwa kila kitu, Uwanjani na nje ya Uwanja. ‘Next Level’ haiwezi kuwa kuwafunga tu hapana ‘Next Level’ mpaka kiuchumi lazima twende huko” amesema Manara.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents