Aisee DSTV!

Haya ndio maamuzi aliyochukua Babu Tale kwa mtu aliyemzushia kifo mtandaoni ‘Angesababisha kifo kwa kaka yangu’ (+Audio)

Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amechukua maamuzi ya kumsamehe mtu aliyemzushia kifo kwenye mitandao ya kijamii kipindi amelazwa hospitalini.

Babu Tale akiongea na Bongo5, amesema kuwa mtu huyo alikamatwa na Polisi lakini kwa huruma yake ameamua kumsamehe.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW