Michezo

Haya ndio maamuzi ya Steven Gerrard katika soka

Mchezaji wa zamani na nahodha wa Liverpool Steven Gerrard ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka baada ya kuachana na klabu ya LA Galaxy ya MLS.

ISTANBUL, TURKEY - MAY 25:  Liverpool captain Steven Gerrard lifts the European Cup after Liverpool won the European Champions League final between Liverpool and AC Milan on May 25, 2005 at the Ataturk Olympic Stadium in Istanbul, Turkey.  (Photo by Clive Brunskill/Getty Images)

3ab6c5f200000578-3967838-gerrard_making_his_debut_for_liverpool_against_blackburn_rovers_-m-63_1479990994409

3ab6b9cb00000578-0-image-m-29_1479986031343

Gerrard mwenye umri wa miaka 36, ameamua kutundika daluga baada ya kuwepo katika mchezo huo wa soka kwa miaka 19 akicheza vilabu vya Liverpool , LA Galaxy pamoja na timu ya Taifa ya England.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents