Fahamu
Haya ndio Magereza 10 ya Kifahari zaidi Duniani – Video
Haya ndio Magereza 10 ya Kifahari zaidi Duniani - Video
Binadamu ana asili ya kupenda starehe bila kujalisha hali yake au wapi alipo. haya hapa ni baadhi ya magereza 10 ya kifahari duniani. Baada ya picha nimekuwekea video unaweza kuitazama.
10 Gereza la Wandsworth, London Uingereza
9 Gereza la Onomichi, Japan
8 Gereza la Santa Ana, Califonia, USA
7 Gereza la San Antonio, Venezuela
6 Gereza la Aranjuez, Spain
5 Justice Centre, Austria
4 Gereza la HMP Addiewell, United Kingdom
3 Gereza la Qincheng, China
2 Gereza la Bastoy, Norway
1 Gereza la Halden, Norway
By Ally Juma.