Habari

Haya ndio maneno ya kwanza ya MoDewij baada ya kupatikana,Kamanda Mambosasa “Waliomteka walikuwa wanaongea lugha ya nchi hii” (+Video)

Mo amepatikana akiwa mzima

Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar Es Salaam Lazaro Mambosasa amedhibitisha kupatikana kwa tajiri na mfanyabiashara Mohamed Dewij usiku majira ya saa nane maeneo ya Gymkana jiji Dar Es Salaam. Mambosasa amethibitisha hilo pia amesema kuwa baada ya kuongea na Mo kuhusiana na waliomteka kamanda huyo amesema kuwa “Mo amesema waloimteka walikuwa wanaongea lugha ya Afrika ya kusini” https://www.youtube.com/watch?v=X6yTD11Hx4M&t=11s Na kuongeza kuwa “Nadhibitisha kuwa waliomteka Mo sio Watanzania kwa kuthibitisha hili kutoka kwake Mo mwenyewe” na hapo ndipo alipomruhusu Mohamed Dewij kuongea kidogo. By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents