Habari

Haya ni maswali mazito ya baba Akwilina kwa serikali na jeshi la polisi (Video)

Baba mdogo wa Marehemu Akwelina mwanafunzi aliyepigwa risasi na polisi siku chache zilizopita, amefunguka kwa kuitaka serikali kutoa tamko kali juu ya kifo cha mtoto wao huyo ambaye alikiwa tegemezi katika familia yao. Akiongea na waandishi wa habari akiwa Muhimbli, Yusuph Shayo alisema kitendo cha mtoto wao kufa kifo cha risasi na kitu ambacho kimewaumiza sana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents