Aisee DSTV!

Hemed PHD atangaza kuoa akiwa na miaka 45 (Video)

Weekend hii kulikuwa na matukio mengi ya burudani lakini moja kubwa ni tukio la uzinduzi wa Lin BBQ Sinza Parestina jijini Dar es salaam ambapo mastaa wa filamu na muziki walifurika kutokana na hadhi ya sherehe hiyo. Mmoja kati ya wasanii ambao walihudhuria tukio hilo ni muigizaji Hemed PHD ambapo alipata fursa ya kuzungumza mambo mengi kuhusu kiota kicho pamoja na maisha yake binafsi.

 

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW