Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Highlights za ligi ya NBA: Je Warriors kuendeleza ubabe kwa Rockets? (Video)

Katika michezo ya conference finals ambayo inaendelea katika ligi ya kikapu nchini Marekani(NBA) kwenye mwendelezo wa michezo ya kuwatafuta wababe watakao kutana katika fainali ya ligi hiyo. Alfajiri ya leo kutakuwa na mtanange utakaowakutanisha wakali wawili ambao ni Golden State Warriors dhidi Houston Rockets. Je unahisi nani ataibuka mbabe?.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW