Michezo

Hii hapa droo ya kombe la FA

Droo ya raundi ya nne ya kombe la FA imetoka huku timu za ligi kuu ya England zikipangwa na zile za daraja la chini.

arsenal-fa-cup-final-aston-villa_3309957

Arsenal, ambao ndio mabingwa watetezi wao wamepangwa kucheza na timu ya Burnley, huku Chelsea wao wataanzia ugenini kwa kucheza na mshindi wa mchezo kati ya Northampton Town au Mk Dons.

Man City wao watakipiga na mshindi wa mchezo wa Wycombe Wanderers au Aston Villa. Man United wao watakipiga na Derby County.

West Ham, wanasubiri mshindi wa mchezo unaowakutanisha Exeter City dhidi ya majogoo wa Anfield Liverpool. Michezo hii ya raundi ya nne itachezwa January 29 mpaka Februari 1

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents