Burudani

Hii ndio cover ya albam mpya ya Dj Khaled ‘Grateful’

Msanii wa Hip Hop nchini Marekani Dj Khaled baada ya kutangaza tarahe kutoa albumu yake ya 10 iitwayo “Grateful’ hatimaye ameonesha muonekana wa cover a albamu hiyo.

Kupitia akaunti yake Instagram, Dj Khaled amepost cover hiyo ambayo inamuonesha mwanae Asahd Khaled, Huku upande wa kushoto wa cover kuna jina lake mwenyewe Khaled na upande wa kulia ikiwa na jina la albamu hiyo.

‘Greatful’ ni moja ya albamu itakayoachiwa akiwa chini ya label ya We the Best, Epic. huku msanii kama Rihanna na Drake wataweza watasikika katika album hiyo.

Hizi ni orodha ya albumu za Dj Khaled tangu aingia kwenye game ya muziki:

1. Listennn… the Album – ilitoka :June 6, 2006 , chini ya label : Terror Squad, E1

2. We the Best – ilitoka: June 12, 2007, chini ya label: Terror Squad, E1

3. We Global – ilitoka: September 16, 200, chini ya label: We the Best, Terror Squad, E1

4. Victory – ilitoka : March 2, 2010 , chini ya label: We the Best, E1

5. We the Best Forever – ilitoka: July 19, 2011, chini ya label: We the Best, Young Money, Cash Money, Universal

6. Kiss the Ring -ilitoka : August 21, 2012, chini ya label: We the Best, Cash Money, Republic

7. Suffering from Success – ilitoka : October 22, 2013, chini ya label: We the Best, Cash Money, Republic

8. I Changed a Lot – ilitoka: October 23, 2015, chini ya label: We the Best, RED

9. Major Key – ilitoka: July 29, 2016 , chini ya label: We the Best, Epic

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents