Tupo Nawe

Hii ndio orodha mpya ya watu 20 matajiri zaidi duniani 2019, bara la Afrika lakosa mwakilishi

Hii ndio orodha mpya ya watu 20 matajiri zaidi duniani 2019, bara la Afrika lakosa mwakilishi

Kila mwaka inatoka orodha ya watu matajiri zaidi duniani na haswa likitegemewa jarida la Forbes kutoa orodha hiyo kwani ndio jarida linaloaminika zaidi duniania.

Katika orodha hizo kila bara huwa na matajiri wake na pia hujumuishwa kote duniani kuona mtu tajiri zaidi duniani anatoka bara gani.

Katika bara la Afrika mfanyibiashara tajiri zaidi anatoka nchini Nigeria ambaye ni  Aliko Dangote ameorodheshwa kwa mara ya tisa mfululizo, kuwa mtu tajiri barani Afrika.

Dangote mwenye umri wa miaka 62 ambaye anafanya biashara ya Simiti, Sukari na unga wa ngano ana utajiri wa dola Bilioni 10.1. Licha ya Dangote ukija katika ukanda wa Afrika mashariki Mohamed Dewji kutoka Tanzania ametajwa kuwa miongoni mwa mabilioni 20 wa Afrika katika ripoti ya jarida la Forbes la mwaka 2020.

Dangote anafuatiwa na mfanyabiashara wa Misri Nassef Sawaris ambaye aliongeza utajiri wake kutoka dola bilioni 6.3 hadi dola bilioni nane.

Mfanyabiashara huyo anamiliki asilimia 5.7 katika kmapuni ya viatu ya Adidas . Ongezeko la hisa za Adidas liliomuongezea dola bilioni moja nukta tano katika akaunti yake.

Orodha ya mbilionea 20 na utajiri wao barani Afrika:

 1. Aliko Dangote $10.1 B
 2. Nassef Sawiris $8 B
 3. Mike Adenuga $7.7 B
 4. Nicky Oppenheimer $7.7 B
 5. Johann Rupert $6.5 B
 6. Issad Rebrab $4.4 B
 7. Mohamed Mansour $3.3 B
 8. Abdulsamad Rabiu $3.1 B
 9. Naguib Sawiris $3 B
 10. Patrice Motsepe $2.6 B
 11. Koos Bekker $2.5 B
 12. Yasseen Mansour $2.3 B
 13. Isabel dos Santos $2.2 B
 14. Youssef Mansour $1.9 B
 15. Aziz Akhannouch $1.7 B
 16. Mohammed Dewji $1.6 B
 17. Othman Benjelloun $1.4 B
 18. Michiel Le Roux $1.3 B
 19. Strive Masiyiwa $1.1 B
 20. Folorunsho Alakija $1 B

Mbali na matajiri hao kutoka Afrika hebu tuangazie matajiri wakubwa duniani kote.

Hii ni orodha ya watu tajiri zaidi ulimwenguni kulingana na tathmini halisi ya mali kwa kulingana na jarida la  Forbes.

Orodha hii ni ndogo kwa watu 20 wa juu, na jumla ya thamani ya dola bilioni trilioni 1.

Mtu tajiri zaidi ulimwenguni kwa sasa ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Amazon, Jeff Bezos mwenye jumla ya zaidi ya dola bilioni 113.

Hii ni orodha ya watu tajiri zaidi ulimwenguni kulingana na tathmini halisi ya mali kulingana na mtandao wa Forbes.

Orodha hii ni mdogo kwa watu 20 wa juu tu, na wakiwa na jumla ya thamani ya dola bilioni trilioni 1.

Mtu tajiri zaidi ulimwenguni kwa sasa ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Amazon, Jeff Bezos kutoka Marekani mwenye jumla ya utajiri wa zaidi ya dola bilioni 113.

Huku Mwanamke tajiri zaidi ulimwenguni ni wa L’Oréal Françoise Bettencourt Meyers kutoka nchini Ufaransa aliye na thamani ya zaidi ya dola bilioni 55.7

Orodha ya watu 20 matajiri zaidi duniani.

RankNameCountryNet worth (USD)AgeMain source of wealthRef(s)
1Jeff Bezos USA$113.0 billion Increase55Amazon
2Bill Gates USA$107.1 billion Increase64Microsoft
3Bernard Arnault FRA$106.6 billion Increase70LVMH
4Warren Buffett USA$86.9 billion Increase89Berkshire Hathaway
5Mark Zuckerberg USA$74.9 billion Increase35Facebook
6Larry Ellison USA$69.2 billion Increase75Oracle
7Amancio Ortega ESP$69.1 billion Decrease83Zara
8Larry Page USA$61.2 billion Increase46Google
9Carlos Slim MEX$60.4 billion Decrease79America Movil
10Mukesh Ambani IND$60 billion Decrease62Reliance Limited
11Sergey Brin USA$57.5 billion Decrease46Google
12Françoise Bettencourt Meyers FRA$55.7 billion Decrease66L’Oréal
13Steve Ballmer USA$55.6 billion Increase63Microsoft
14Michael Bloomberg USA$54.6 billion Increase76Bloomberg
15Jim Walton USA$53.1 billion Decrease71Walmart
16Alice Walton USA$52.8 billion Decrease70Walmart
17S. Robson Walton USA$52.8 billion Decrease75Walmart
18Charles Koch USA$42.9 billion Decrease84Koch Industries
19Julia Koch USA$42.9 billion Decrease57Koch Industries
20Jack Ma CHN$41.4 billion Increase55Alibaba Group
As of 28 November 2019

Chanzo Forbes.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW