Michezo

Hii ndio ratiba ya michuano ya kombe la Europa hatua ya robo fainali

Droo ya hatua ya raundi ya 16 bora ya kombe la Europa League 2017/18 imepangwa leo Ijumaa.

Baada ya kufanikiwa kuwatoa AC Milan kwenye hatua ya 16 bora, Arsenal wamepangwa kucheza na CSKA Moskva ya Urusi.

Wakati huo huo Atletico madrid baada ya kutinga kwenye hatua hiyo na ushindi wa kishindo wa mabao 8-1 walioupata dhidi ya Lokomotiv Moskva, imepangwa kucheza na Sporting Lisbon ya Ureno.

Nao wababe wa Borussian Dortmund, Salzburg wamepangwa kucheza na Lazio ya Italia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents