Michezo

Hii ndio Serengeti Boys mpya ya AFCON 2019 Tanzania (Picha)

Timu ya taifa ya soka ya Tanzania kwa vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imeanza mazoezi rasmi leo katika uwanja wa Karume Jijini Dar es salaam kujiandaa na fainali za AFCON U17 2019 zinazotarajiwa kufanyika hapa nchini.

Picha zinazoonyesha vijana wa Serengeti Boys wakiwa katika Mazoezi leo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents