Burudani

Hii ndiyo ngoma ya Mr Blue yenye umri sawa na mahusiano yake

Msanii wa muziki Bongo, Mr.Blue amebainisha kuwa ngoma yake ya kwanza ya ‘Blue Blue’ iliyotoka mwaka 2003 inalingana na muda alianza mahusiano na mkewe Wayda.

Akipiga stori kupitia Planet Bongo ya EA Radio, msanii huyo anayetamba na ‘Siwezi’ amesemea ngoma ya Blue Blue inalingana na muda alioanza mahusiano na mkewe ambaye kwa sasa wanawatoto wawili.

“Muda natoa ngoma ya Blue Blue ilikuwa ndio nimeanza kujuana na Wayda yani sasa tuna muda wa miaka kama 13 yani hapo miwili ya ndoa yetu kipindi hiko nianza urafiki na mke wangu” amesema Byser.

Pia akaongeza kuwa kila jambo anapanga mungu katika maisha, tulianza mahusiano kisha tukaja kuwaa wachumba na kusihi pamoja mpaka saa ndoa.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents