Uncategorized

Hii ndiyo siri ya Paul Pogba kutupia mabao dhidi ya Huddersfield

Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba alikuwa kwenye wakati mzuri usikuwa jana baada ya mpenzi wake, Maria Salauses alipohudhuria mechi yao dhidi ya Huddersfield ambapo nyota huyo alifanikiwa kufunga jumla ya mabao mawili kwenye ushindi wa magoli 3-1 ikiwa ni siku ya Boxing.

Paul Pogba's pregnant girlfriend Maria Salaues watched the Manchester United star play

Pogba akitoka kwenye misukosuko ya kutoelewana na aliyekuwa meneja wa timu hiyo, Jose Mourinho lakini Mfaransa huyo kwa sasa anaonekana akiwa na furaha akiwa chini ya Ole Gunnar Solskjaer.

Salaues was in attendance at Old Trafford as Pogba scored a brace against Huddersfield

Siku chache zijazo Pogba anatarajiwa kuitwa baba kutokana na mpenzi wake Maria Salaues raia wa Bolivia mwenyeumri wa miaka 23 kuwa na ujauzito.

France star Pogba and girlfriend are spotted leaving a Hollywood restaurant in 2017

Salaues alikuwa kwenye dimba la Old Trafford usiku wa Jumatano bila kujali hali yake ya ujauzito alikwenda kumuunga mkono Pogba.

The Frenchman is enjoying his football again under new caretaker boss Ole Gunnar Solskjaer

United imeshinda michezo yake yote ikiwa chini ya meneja, Solskjaer huku kiungo huyo akiwa na mchango mkubwa kwenye matokeo hayo.

Manchester United sasa inajiandaa kuwakabili Bournemouth Jumamosi hii kwenye uwanja wa nyumbani huku wakihitaji ushindi ili kutengeneza mazingira mazuri zaidi kwenye msimamo wa Premier League.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents