Michezo

Hii ndio sababu iliyomfanya Ryan Giggs kutokuwepo uwanjani, Man Utd vs Stoke

Ryan Giggs jana hakuwepo kushuhudia mchezo ambao timu yake ilipata ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Stoke City katika uwanja wa Manchester United, Old Trafford kutokana na matatizo ya kifamilia, ililipotiwa na gazeti la Daily Mail kutoka England.

Manchester United manager Louis van Gaal takes his seat next to his assistant Ryan Giggs, during a pre season friendly at Old Trafford, Manchester.

Kocha Louis Van Gaal alionekana kutumia muda mwingi wa mechi hiyo kushauriana na makocha wengine wa mazoezi huku kiti cha msaidizi wake Ryan Giggs kikibakia wazi.

30D2ED1C00000578-3429095-image-a-14_1454453649348
Kiti ambacho huwa anakalia Ryan Giggs kikiwa cheupe

United ilipata magoli yaliyofungwa na Jesse Lingard, Anthony Martial na nahodha Wayne Rooney yaliweza kumpa pumzi kocha Louis Van Gaal ambaye kwa sasa anapitia kipindi kigumu akiwa Old Trafford.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents