Michezo

Hii ni orodha ya wachezaji 10 wanaolipwa fedha nyingi kwenye EPL

Hii ni orodha ya nyota wanaolipwa mishahara mikubwa kwenye ligi kuu, ya Uingereza.

Wayne Rooney
Wayne Rooney analipwa pauni 260,000 kwa wiki

Wastani wa mshahara kwa kila mchezaji wa katika ligi hiyo ni pauni 44,000 kwa wiki ambazo ni sawa na pauni milioni 2.29 kwa mwaka lakini vilabu vikubwa hulipa zaidi ya hivyo.

wazza3
Sergio Aguero huchukua pauni 240,000 Manchester City

wazza4
Yaya Toure hupeleka nyumbani pauni 240,000 Man City

wazza5
Eden Hazard analipwa 220,000 kwa wiki Chelsea

wazza6
David Silva analipwa pauni 200,000 kwa wiki Man City

Hii ndo orodha ya wachezaji 10 wanaolipwa fedha nyingi katika ligi hiyo.

1. Wayne Rooney (Man Utd) £260,000-a-week

Five-year deal signed in 2014

2. Sergio Aguero (Man City) £240k

Five-year deal signed in 2014

3.Yaya Toure (Man City) £240k

Four-year deal signed in 2013

4. Eden Hazard (Chelsea) £220k

Five-year deal signed in 2015

5. David Silva (Man City) £200k

Five-year deal signed in 2014

6. Mesut Ozil (Arsenal) £190k

Five-year deal signed in 2013

7. Raheem Sterling (Man City) £180k

Five-year deal signed in 2015

8. Cesc Fabregas (Chelsea) £170k

Five-year deal signed in 2014

9.Kevin De Bruyne (Man City) £170k

Six-year deal signed in 2015

10. John Terry (Chelsea) £160k

One-year deal signed in 2015

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents