Soka saa 24!

Hii sasa kutoka kwa Billnas na Roma ni hatari, inaitwa Funga geti – Video

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania Billnas alimaarufu Billnenga ameachia video ya wimbo wake mpya aliyomshirikisha mkali wa Hip Hop Roma Mkatoliki.

Ngoma hio ya Funga geti imefanywa na Director Nicklass huku biti la ngoma hii likifanywa na Mr T touch wa touch sound.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW