Michezo
Hiki hapa kikosi cha Al – Masry kitakacho ikabili Simba SC uwanja wa Taifa
Wapinzani wa Simba SC katika michuano ya kombe la Shirikisho klabu ya Al-Masry imetangaza kikosi chake kitakacho shuka dimbani hii leo uwanja wa taifa kutafuta ushindi dhidi ya wenyeji wao hao wa Msimbazi.
1,A Maoud, 2. Shatta, 3. M Hamdi, 4. Koffi, 5. I Salah, 6. A mouusa, 7. F shawky, 8. A shokry, 9. Gomaa, 10. Bance, 11. Grendo
Kikosi cha akiba
1,Mohmoud Ellseyd, 2. Ahmed Gouda, 3. Abou Sheashaa, 4. Said Mourad ,5. Mostafa Marcelo, 6. Isshofu Quattara, 7.Abdelnasser di maria