Michezo

Hiki ndicho atakachokifanya Toure baada ya wiki moja aliyowapa Manchester City kumalizika

Mkataba wa Yaya Toure na timu yake ya Manchester City umebakiza mwaka mmoja kabla ya kumalizika.

yaay22_2745662a

Wakala wa Toure amesema wiki ijayo itafahamika hatma yake.

“Wiki ijayo tutajua kama Toure atasaini mkataba mpya au ataenda timu nyingine. Lakini kama ataondoka City hataenda timu nyingine ya Uingereza,” alisema Seluk.

aliongeza pia, “Kuna watu wanasema amekuja City kwaajili ya hela tu. Lakini alipokuja hapa timu ilikuwa inashika nafasi ya sita au saba na ilikuwa haijawahi kushiriki mashindano ya klabu bingwa Ulaya.”

Toure amebakiza mwaka mmoja mkataba wake uweze kuisha, pia ndio mchezaji anayeongoza kulipwa mshahara mkubwa wa paundi 220,000 kwa wiki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents