Hiki ndio kikosi cha Simba kitakachocheza na Mbeya City leo

Klabu ya soka ya Simba imetangaza kikosi chake kitakachocheza na Mbeya City leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara.

1. Aishi Manula
2. Asante Kwasi
3. Yusufu Mlipili
4. Erasto Nyoni
5. Juuko Murshid
6. Jonas Mkude
7. Nicholas Gyan
8. Shomary Kapombe
9. John Bocco
10. Emmanuel Okwi
11. Shiza Kichuya

Wachezaji wa akiba

12. Said Nduda
13. Mohamed Hussein
14. Said Ndemla
15. Laudit Mavugo
16. Kotei
17. Mzamiru
18. Paul Bukaba

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW