Habari

Hiki ndio kilichowafanya TRA kuamua kugawa bure Makontena ya Paul Makonda (+Audio)

Ikiwa ni minada minne tayari imeshafanyika ya kutafuta mnunuzi wa makontena 20 ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sasa imeamua utaratibu wa kuyatoa bandarini na kuyagawa bure kwenye Taasisi za Serikali.

Makontena hayo yalikuwa yanapigwa mnada na kampuni ya udalali ya YONO na yamesheheni samani mbalimbali kama viti na meza, yalizuiwa kutolewa bandarini kutokana na kudaiwa kodi inayokadiriwa kuwa tsh bilioni 2.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents