Burudani

Hiki ndio kitu ambacho ukimfanyia Akothee hawezi kukuacha salama

Akothee amefunguka kitu ambacho kinamuumiza zaidi katika maisha yake.

Mrembo huyo wa Kenya mwenye watoto watano, amemuambia mtangazaji wa kipindi cha Msaetoea cha Citizen Radio, Mzazi Willy Tuva, ukitaka kumuudhi na aanzishe mtiti wa kufa mtu basi waguse watoto wake.

“Kuniponda wananiponda kila siku lakini heri unitusi matusi yote lakini ukitaka kunimaliza unitusi watoto wangu, hapo sasa hata usanii nitaweka pembeni. Watoto wangu tu, chochote unaweza kuniita na hakuna jina hawajawahi kuniita kwenye mtandao na ninafurahia kw sababu it show that am doing something couse people what hate on what not there, they hate because seen something,” amesema muimbaji huyo.

Kwa sasa msanii huyo anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘New Dance’ aliofanya na Oc Osilliation.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents