Michezo

Hili ni jibu la Neymar baada ya Messi kutangaza kustaafu kuchezea timu ya taifa

Mchezaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Neymar amefunguka juu ya maamuzi ya Lionel Messi kutangaza kustaafu kuchezea timu ya taifa.

281D9A4600000578-3060793-image-a-29_1430309883032

Neymar amesema kuwa ni uamuzi mgumu sana aliofanya [Messi] kustaafu soka la kimataifa, lakini anatumai ana furaha.

Akiongea na gazeti la Marca la Hispania, Neymar amesema, “I respect his decisions, but football without Messi isn’t football, it’s hard to imagine it without him.”

“If you like football at all, then you can’t help but admire Messi and everything he’s achieved for Argentina and Barcelona,” aliongeza.

Aidha Neymar ameeleza kuwa hana wazo la kuondoka Barcelona akipinga tetesi zinazozidi kuenezwa kuwa hana furaha ndani ya timu hiyo huku ikielezwa kuwa anaweza akatua kwenye timu ya PSG.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents