Burudani

Hisia ashinda tuzo iliyoandaliwa na ubalozi wa Ufaransa nchini Burundi (Video)

Muimbaji wa Tanzania, Hisia ameshinda tuzo iliyoandaliwa na ubalozi wa Ufaransa nchini Burundi.

Shindano hilo lilihusisha nchi zote za Afrika Mashariki na lilianzishwa kwaajili ya kampeni itakayoanza hivi karibuni kuhusu matumizi ya lugha ya Kifaransa katika nchini za Afrika Mashariki.

Wasanii walitakiwa kutunga nyimbo za Kifaransa na fainali zilifanyika Burundi.

“Mshindi anakuwa balozi wa kampeni hiyo itakapoanza halafu pia wanagharamia production ya album,” Hisia ameiambia Bongo5.

Mtazama zaidi Hisia akiongea kwenye video hiyo juu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents