Michezo

Hivi ndivyo birthday ya Neymar ilivyo fana usiku wa jana (+picha)

Staa wa klabu ya Paris Saint – Germain na timu ya taifa ya Brazili, Neymar usiku wa jana amesherehekea furaha yake ya kuzaliwa katika njiji la Paris baada ya kutimiza umri wa miaka 26. 

Staa wa Paris Saint Germain, Neymar akionekana katikati hapo akiwa anawasili Pavillon Cambon kwaajili ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa 

Mchezaji huyo wa Brazili ametimiza miaka hiyo hii leo siku ya Jumatatu ameonekana akitupia picha mbali mbali zinazomuonyesha akiwa na wachezaji wa timu yake ya PSG kama vile Pavillon Cambon, Kylian Mbape, Dani Alves na Angel Di Maria.

Picha hizi ni marafiki zake na wachezaji wenzake wa klabu ya PSG.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents