Habari

Hivi ndivyo kamera za CCTV zilivyonasa washambulizi wakiingia katika hoteli ya DusitD2 Nairobi (+ Video)

Vyombo vya habari nchini Kenya vimetoa mkanda wa video kutoka kwenye moja ya kamera za CCTV ikionesha watu waliojihami kwa silaha wakiingia viunga vya hoteli ya DusitD2.

Kamera hizo zimenasa watu wanne wanaoaminika kuwa ni wanamgambo wa al-Shabaab wakiingia kwenye eneo la kuegesha magari ambalo ndio lango kuu la viunga hivyo.

Chanzo https://www.bbc.com/swahili/live/habari-46880581

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents