Picha

Hivi ndivyo mastaa walivyosherekea siku ya mama duniani.

By  | 

Siku ya mama duniani huadhimishwa kila mwaka ifiapo May 14. Kila watu huwa na utaratibu wa kufurahi na pengine kupongeza mama zao.

Hawa ni baadhi ya mastaa waliotumia mitandao ya kijamii kusherekea katika siku hiyo,Miley Cyrus, John Legend, Mariah Carey, Kris Jenner, Cristiano Ronaldo,Kevin Hart na wengine wengi.


Cristiano Rornadol akiwa na mama yake.


Chris Brown akiwa na mama yake


Mariah Carey na watoto wake.


John Legend alipost picha hii ikimuonesha mkewe na mtoto wao Luna


Kevin Hart alipost picha hii ikimuonesha bado mdogo akiwa na mama yake


Rapa Nick Minaj alipost picha hii ya mama yake


Mery na Noah Cyrus walipost picha hii wakiwa na mama yao.


Trey Songs na mama yake.


Kris Jenner alipost picha hii siku ya jana.

Baadhi ya mashabiki waliziita picha hizo kuwa ni Hollywood hearts Mom.

Na Laila Sued

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments