Hivi ndivyo mwili wa mtoto ‘Patrick’ ulivyoagwa na maelfu ya Watanzania, Muna aishiwa nguvu adondoka (+video)

Hivi ndivyo maelfu ya Watanzania walivyojitokeza katika viwanja vya Leaders kuuaga mwili wa mtoto Patrick ambaye alifariki siku ya Jumtano Julai 4, 2018 huko nchini Kenya alikokuwa akipatiwa matibabu.

Kwenye shughuli hiyo ya kuuaga mwili wa Patrick mama mzazi wa mtoto huyo, Muna Love alishindwa kujizuia na kuanguka chini baada ya kuuona mwili wa mtoto wake.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW