Michezo

Hivi ndivyo nyota wa Liverpool walivyotupia wakiongozwa na Jurgen Klopp usiku wa jana (+picha)

Baadhi ya wachezaji wa klabu ya Liverpool wakiwa sambamba na wapenzi wao wameoneka wakiwa wamependeza usiku wajana siku ya Jumapili walipotembelea ‘Creepy CarnEVIL charity’ iliyo andaliwa na James Milner Foundation.

James Milner was pictured arriving at his foundation's charity ball in an all-black suit and red tie with wife Amy Fletcher

James Milner akiwa na mke wake, Amy Fletcher

Baadhi ya wachezaji kama Virgil van Dijk, Jordan Henderson, Alex Oxlade-Chamberlain ana Joe Gomez walipiga picha ya pamoja kwenye tukio hilo lilofanyika Manchester.

Virgil van Djik looked sharp in a velvet jacket and he was kept company by wife and childhood sweetheart Rike Nooitgedagt

Wachezaji hao wakiwa na furaha ya ushindi kwenye mchezo wao dhidi ya Watford walifika katika tukio hilo.

Meneja Jurgen Klopp naye hakubaki nyuma akiwa na mke wake, Ulla Sandrock walionekana pia wakiwasili katika kumsapoti Milner ambaye amecheza jumla ya mechi 149 tangu alipojiunga na klabu hiyo mwaka 2015.

Manager Jurgen Klopp and wife Ulla Sandrock were also in attendance as they offered their support to Milner

Lengo la James Milner Foundation ni kuwasaidia vijana wadogo kutumia michezo kuwapatia furaha na afya katika maisha.

Henderson was sent off in the 3-0 win over Watford on Saturday

Nahodha huyo msaidizi wa Liverpool ameonekana akiwa amevalia suti nyeusi na tai nyekundu wakati mkewe, Amy Fletcher pia akiwa amevalia nguo za rangi zilizoendana na wachezaji katika sherehe hiyo ambayo pia iliudhuriwa na nyota wa soka kutoka sehemu nyingine.

Alexander-Arnold was spotted making a phone call on his arrival as he nursed a finger wound

Picha

Injured midfielder Alex Oxlade-Chamberlain seemed to attend without partner and Little Mix star Perrie Edwards at the bash

Injury-ravaged midfielder Adam Lallana and his wife Emily Jubb looked very stylish as they arrived at the dinner

Joe Gomez, who missed the win at Watford, stopped to sign an autograph as he strolled in with girlfriend Tamara Tia

Milner and Lescott were team-mates in a successful spell at the Etihad Stadium

Bruce kept his head down as he made his way inside before the event got underway

Milner also posted a series of photos on Instagram later in the evening including one with team-mate Andy Robertson

Spearing made 30 Liverpool appearances in five years at Anfield

Guests were treated to performances from some famous musical faces on the huge stage, including Take That's Gary Barlow

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents