Burudani

Hivi ndivyo Peter wa P Square alivyopagawishwa na nyimbo ya Harmonize na Diamond ‘Kwangwaru’ (+Video)

Hivi ndivyo Peter wa P Square alivyopagawishwa na nyimbo ya Harmonize na Diamond 'Kwangwaru' (+Video)

Msanii wa muziki kutoka Nigeria Peter Okeye alimaarufu Mr P ambaye alikuwa miongoni mwa washiriki katika kundi kubwa la muzki la P Square ambalo lilikuwa linaundwa na ndugu wawili Peter na Paul.

Msanii huyo ambaye anafanya kazi kama solo artist baada ya kujitenga katika kundi hilo huku kila mmoja akifanya kazi zake, katika moja ya video aliyoipost kwenye insta stori yake inamuonesha akicheza nyimbo za wasanii wawili akiwa anazifurahia kana kwamba ni mara yake ya kwanza kuziona,Moja ya nyimbo hizo ni ya msanii kutoka Nigeria Mr Flavour na ya msanii kutoka Tanzania katika lebo ya muziki ya WCB Harmonize aliyemshirikisha Diamond Platnumz Kwangwaru.

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents