Habari

Hivi ndivyo Rais Magufuli alivyouaga mwili wa marehemu Mzee Majuto (+video)

Tazama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alivyowasili kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kutoa heshima za mwisho katika kuuaga mwili wa Mchekeshaji mkongwe nchini Tanzania, Mzee Majuto.

Related Articles

One Comment

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents