Hizi ndio bei za TECNO SPARK 2 simu janja yenye kamera nzuri zaidi duniani kwa sasa (+video)

Kila kijana kwa sasa anahitaji smartphone ambayo itakuwa yenye features za kijanja ikiwemo Face ID, Finger Print, storage kubwa na hata kamera pia yenye ubora na vyote hivi lazima pia uangalie gharama ya simu yako.

Image result for tecno spark 2
Tecno Spark 2

Ukweli ni kwamba simu mpya ya TECNO SPARK 2 inakuja na sifa zote hizo na pia bei yake ni rahisi kwani B5 review imetembelea baadhi ya maduka hapa Dar es salaam na bei zao zimetofautiana tofautiana lakini maduka yote wanauza chini ya tsh laki tatu. Tazama video ujionee bei za simu hiyo yenye kamera nzuri zaidi duniani kwa sasa

 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW