Burudani

Hizi ndio nyimbo zitakazopatikana kwenye ‘Grateful’ ya Dj Khaled

Zikiwa zimebakia takribani wiki mbili kabla ya kuachiwa kwa albamu ya ‘Grateful’, Dj Khaled ameweka wazi nyimbo zitakazobatikana kwenye albamu hiyo.

Kwa mujibu picha aliyoiweka rapper huyo kwenye mtandao wa Instagram, inaonyesha kuwa albamu hiyo itakuwa na nyimbo 23.

Kati ya nyimbo hizo zote zitakazopatikana kwenye albamu hiyo, ni nyimbo tatu pekee ambazo tayari Khaled alishaziachia ambazo ni ‘Shining’ aliyomshirikisha Jay Z na Beyonce, ‘To The Max’ aliyomshirikisha Drake na ‘I’M The One’ aliyowashirikisha Lil Wayne, Quavo, Chance The Rapper, Future na Justin Bieber.

Albamu hiyo inatarajiwa kuachiwa Juni 23 ya mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents