AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Hizi ndio post zilizopata likes nyingi zaidi Instagram

Katika mitandao yote ya kijamii Instagram imekuwa ni sehemu ambao watu wanaufuatili na wanajifunza vitu vingi sana na hata kwa mastaa ni sehemu ambayo inamuonyes staa yupi ana fuatiliwa zaidi.

katika post ambazo kila mtu anapost huwa zinapata ushawishi wa watu kuifuatilia post hiyo, ikiwa ni video au picha na ktokana na tukio maalumu la video hiyo au picha hiyo ndio hupata likes nyingi au views wengi zaidi.

zifuatazo ni post zilizopostiwa na watu mbalimbali wanaoutumia mtandao wa Instagram na zilifanikiwa kupata likes nyingi zaidi kwa muda wote nikimaanisa hadi hivi sasa.

1.Kylier Jenner ni mwanamitindo kutoka Marekani na post yake iliyopata likes nyingi zaidi ni ile aliyoipost februari 6 mwaka huu 2018 ambayo ilikuwa picha ya kwanza ya binti yake ambayo ilipata likes milioni 18 036403.

 

2.Justine Beiber ni mwanamuziki kutoka Marekani akiwa mzaliwa wa Canada na post yake iliyopata likes nyingi ni ile ambayo alikuwa anatangaza mahusiano yake na mpenzi wake Hailey Badwin ambayo ilifikisha likes milioni 13.

Huku mchezaji kutoka katika klabu ya JuventusCristiano Ronaldo akiwa n anayeoongoza kwa kuwa na followers wengi zaidi Instagram akitupwa nafasi ya 6 post ambayo alikuwa anatangaza kujiunga na Juventus akitokea Real Madrid.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW