Burudani

Hizi ndio sababu za wasanii wa Bongo Fleva na Ma-producer wa Bongo ku-copy beats za muziki wa Nigeria (+Video)

Muaandaji na msanii wa muziki nchini Tanzania, Akili The Brain akiongea na Bongo5, amefunguka sababu zinazofanya wasanii wengi hapa Tanzania na Ma-producer kutumia zaidi vionjo vya muziki wa Nigeria kuliko midundo ya Bongo Fleva kama ilivyokuwa zamani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents