Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Hizi ndio bei za lipstick za Nicki Minaj

Sio swagg tu, bali hata kwenye urembo rapper wa kike Young Money Nicki Minaj yupo hii inadhihirisha wzi baada ya kuziachia  rasmi bidhaa zake za lipstick  sokoni mwezi huu.

Nicki ambaye alitangaza kuachia bidhaa hizo  mwezi uliopita kupitia kampuni ya M.A.C amefanya hivyo kwa kuachia aina mbili za lipstick ambazo ni  NickisNude na ThePinkprint, zitakazouzwa kuanzia dola 18 sawa na kiasi cha shilingi 40,413.45.

“Ok I’m about to announce my winners on twitter. This might be the illest gift set I’ve ever seen. My fans deserve it. They’re gonna be so happy. But mad jealous too if they don’t win. Awww ? love u ? #MACxNickiMinaj @maccosmetics you’re getting like 20 lipsticks and 2 glosses. Yikes. Plus my signature colors #ThePinkprint & #NickisNude We’ve officially launched in the US!!!!!!,” ameandika mrembo huyu kupitia mtandao wa Instagram.

Baadhi ya bidhaa zingine za urembo za rapper huyo zinatarajiwa kuongezeka  sokoni ifikapo mwaka 2018, na kwa sasa zitapatikana kwa mfumo wa online ya MACcosmetics.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW