Habari

Hongera Hasheem!!

Hongera Hasheem!!
Usiku wa kuamkia leo nyota wetu wa mpira wa kikapu, Hasheem Thabeet, amechagulia kucheza na timu ya Memphis Grizzlies baada ya kuibuka chaguo la pili katika NBA Draft

Hasheem ataingia mkataba wa miaka mitatu na timu hio na kulipwa jumla ya dola milioni 12 (bilioni 15 za kibongo) katika muda huo.

Kwa kweli huu ni mfano wa kuigwa, yeye binafsi anasema alivoenda Marekani hakutegemea kufika mbali hivyo, lakini baada ya kuijiamini na kufanya kazi kwa bidii ameweza kufanikisha ndoto zake.

Tunamtakia kila la kheri na mafanikio mengi zaidi katika NBA na maisha yake kwa ujumla.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents