Shinda na SIM Account

Huddah atoa kauli tata mtandaoni

Kila mtu ana maisha yake na maamuzi yake katika kila jambo analofanya. Mastaa wengi wamekuwa wakitoa kauli tata mara kwa mara kupitia mitandao ya kijamii.

Mwanamtandao Huddah Monroe kutoka Kenya, anazidi kuibua utata wa kauli zake kutokana na alivyoama kueleza ni kitu gani anapenda zaidi kukifanya. Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram mrembo huyo ameweka maneno yanayoashiria akipenda sana kufanya tendo la ngono kuliko kitu kingine.

“I miss my KING! And for those who keep asking on my DM! I am not BISEXUAL! I DON’T do WOMEN! I love DICK too much!?? Most of my friends are GAY ?and I love them to death but I don’t swing that way with women! Sawa? Thanks . Love you! ❤️ #STARGAL, ” ameandika mrembo huyo.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW