Burudani

Huddah aweka mtandaoni kadi ya gari kuthibitisha kuwa ndiye mmiliki wa ile Range Rover

Mrembo wa Kenya, Huddah Monroe ameamua kuwakata vilimilimi wale waliokuwa wakimkebehi kuwa mkoko aina ya Range Rover anaotumia huenda sio wa kwake, kwa kuweka kithibitisho cha kadi ya gari hiyo ambayo imesajiliwa kwa jina lake halisi Sonie Alhuda Njoroge.

Huddah Range

Mwaka jana mwishoni baada ya kushare picha za gari yake mpya, kuna baadhi ya blogs za Kenya zilizodai kuwa gari hiyo si yake.

Katika post hiyo ambayo ameifuta aliweka kadi hiyo na kuandika:

“I don’t like to prove anything to bastards but , I don’t rent or borrow cars! I hustle too hard to be living on a budget! Somebody tell these bloggers to go and get the final search at KRA , Bitches! #CozYouAreBrokeDontMeanEveryoneIs #PutSomeKYjellyOnYourLives”

huddah M
huddah M2

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents