Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Huddah Monroe adai Wakenya ni wavivu

Aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa Housemate, Huddah Monroe amelipuka katika mtandao wa Snapchat kwa kudai Wakenya ni wavivu hivyo anafikiria kuajiri Mnaigeria.

Huddah huwenda amefikia uamuzi huo iliaweze kuwa karibu na mwanaume anayetamani kuolewa naye Wizkid.

“I hate slow people and lazy people. I want things done when I want them to be done. Don’t tell me tomorrow or an hour later. I am so mad” ameandika mrembo huyo kupitia Snapchat.

Ameongeza kuwa “I need to start hiring Nigerians only for my company. That’s the only way I’ll go to the next level! Kenyans are derailers. Never pay a Kenyan before they finish work. Uselessness galore…U.S Africans were enslaved for so long so they can do things there.”

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW