Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Huddah Monroe alivyoshangilia akaunti yake ya Instagram kuwa ‘verified’

Hatimaye akaunti ya Instagam ya Huddah Monroe kutoka Kenya imekuwa verified.

Tayari kitick kidogo cha blue cha kuonesha kuwa ni akaunti halali kimeshatokea kwenye akaunti ya mrembo huyo ambaye amekuwa akiwatoa udenda vidume wengi.

Mrembo huyo kupitia mtandao huo ameonyesha kufurahishwa na kitendo hicho kwa kuandika, “FINALLY VERIFIED! Those Fake Pages were killing me! LETS CELEBRATE tomorrow [email protected] RESERVE YOUR TABLE ASAP! KESHO Issa SERIOUS TURN UP – Bitches Will become BELIEVERS! Tekno will be there ? #PARAMBULATE #STARGAL⭐️.”

Huddah anaungana na warembo wengine wa Afrika ambao akaunti zao za mtandao huo tayari zipo veified, akiwemo Victoia Kimani, Vanessa Mdee, Tiwa Savage, Yemi Alade, Bonang Matheba na wengine.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW