Michezo

Hugo Lloris wa Tottenham atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki 4

Golikipa wa klabu ya Tottenham Hotspurs wametangaza kuwa kipa wao Hugo Lloris atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa takribani wiki 4 kufuatia maumivu ya nyama za paja aliyopata jumamosi iliyopita katika mechi dhidi ya Everton.

372F945B00000578-3743452-image-a-165_1471358516848

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents