Habari

Hukumu ya kesi ya Wema Sepetu yasogezwa mbele, mwenyewe aongea kilichotokea Mahakamani (+video)

Hukumu ya Kesi inayomkabili Muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ya kutumia madawa ya kulevya yasogeswa mbele hadi Ijumaa ya wiki hii.

Akizungumza mapema asubuhi ya leo Jumatatu Julai 16, 2018 Wema Sepetu amedai kuwa Hakimu kuna vitu bado anavifanyia uchunguzi zaidi ili hukumu iweze kutolewa.

Wema Sepetu na wafanyakazi wake wawili mnamo tarehe 23 Aprili 2018 walikutwa na kesi ya kujibu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana kukabiliwa na kesi ya kutumia Madawa za kulevya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents