Aisee DSTV!
SwahiliFix

Hukumu ya Tekashi 69 yarudishwa nyuma baada ya maombi ya waendesha mashtaka na mpenzi wake

Hukumu ya Tekashi 69 yarudishwa nyuma baada ya maombi ya waendesha mashtaka na mpenzi wake

Jaji ametaja tarehe mpya ya hukumu kwa rapper Tekashi 6ix9ine, Kulingana na Complex, jaji Paul Englemayer amekubali mwito wa kubadilisha tarehe ya kwanza na ataamua hatma ya rapper huyo iliyowekwa au kutajwa na kusomwa Desemba 18, 2019 tarehe hiyo hapo awali ilikuwa imewekwa Januari 24, 2020.

Walinzi wake Ellison na Mack wote walihukumiwa kwa makosa mengi. Ellison alikutwa na hatia ya utekaji nyara pamoja na njama za kupanga njama na kuumezea au kushambulia kwa silaha hatari kwa kusaidiana na kundi la ujasusi, wakati Mack alipatikana na hatia ya utumiaji na usambazaji wa madawa ya kulevya.

Ellison na Mack ambao ni walinzi wake watahukumiwa mwezi Februari.

6ix9ine alikiri mashtaka kadhaa ambayo alipewa kifungo cha miaka 47 gerezani Lakini kwa sababu ya ushirikiano wake na wafadhili, inawezekana kuwa nje mapema mwaka 2020. Tekashi Amekuwa ndani tangu kukamatwa kwake Novemba 2018.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW