Humphrey Polepole asikitishwa na Skizzy kuvamia, atoa kauli hii

Tumepokea taarifa za kuvamiwa studio ya S2KIZZY ambako wasanii waliokuwa wakijiandaa kurekodi, wamepigwa na kufanyiwa vitendo vya unyanyasaji. Haikubaliki! Tumesema na Jeshi la Polisi

@tanpol kuchunguza tukio ili haki ipatikane na kuwachukulia hatua kali wavamizi. #Muzikinimaisha
https://www.youtube.com/watch?v=GMKagsCcj5o

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW